AyoTV

VIDEO:Snura alivyoiachia ‘Chura’ kwa wakazi wa Dodoma Maisha Basement night Club

on

Usiku wa Mei 1, 2016 Mrembo ambaye alianza kutamba katika Bongomovie na baadae kuingia katika muziki wa Bongofleva Snura Mushi alifanya show maalum kwaajili ya kuachia single yake iitwayo Chura mkoani Dodoma Club Maisha Basement.

Mashabiki wa Snura walijitokeza kwa wingi na hivi ndivyo ilivyokuwa mtu wangu itazame hii video hapa

https://www.youtube.com/watch?v=RQ1Am9Gw8mE

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIKOSA JIPYA KUHUSU KIFO CHA PAPA WEMBA TAZAMA HUYU JAMAA KWENYE VIDEO HII HAPA

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments