Habari za Mastaa

UTAIPENDA!! wasanii wa Alikiba walivyoimba live wimbo wao mpya na kuzungumza haya (+video)

on

Siku ya June 14, 2017 Wasanii kutokea Record label ya Alikiba ambayo ni Kings Music walidondosha Audio na video nyingine kwaajili ya mashabiki wao wimbo ukiwa unaitwa ‘Rhumba’ na ndani ya wimbo huo ameimba Abdukiba, Cheed, Killy na K2ga.

Sasa AyoTV na millardayo.com ziliwanasa wasanii hao baada ya kutambulisha wimbo wao redioni ambapo waliamua kuimba live wimbo huo na kisha baadae kuzungumza kuhusu wimbo wao.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama ilivyokuwa.

Soma na hizi

Tupia Comments