Habari za Mastaa

Hivi ndivyo video ya ‘My number one remix’ ilivyorekodiwa huko Nigeria

on

Screen Shot 2014-02-25 at 3.47.03 AMBaadaa ya kutoka kwa video ya ‘my number one remix’ mwezi mmoja uliopita, hii ni time ya fans wa Diamond kupata nafasi ya kutazama jinsi video hii ilivyokua ikitengenezwa huko Nigeria.

Kwenye hii video utamuona Davido, Diamond, B-Red na wengine wakizungumza pamoja na zile mishemishe za uchukuaji picha jinsi.

[youtube youtubeurl=”ybPEW8zeRDE” ][/youtube]

Tupia Comments