Video Mpya

VideoMPYA: Belle 9 amehusika kwenye hii Mpya inaitwa ‘Kwa Kule’ ya Gib Carter

on

Karibu kuitazama ngoma mpya kutoka kwa msanii Gib Carter amemshirikisha mkali kutokea Morogoro Belle 9 ngoma inaitwa ‘Kwa Kule.  Audio ya wimbo huo imetayarishiwa nchini Zimbabwe, Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama video na usisahau kuacha komenti yako kuwa video umeionaje.

VIDEO: KAULI YA GIGY MONEY BAADA YA KAMUONA DEMU MPYA WA MO J

VIDEO: Kwa mara ya kwanza Mama Steve kaongea fumanizi la mzazi mwenzake Barnaba

Soma na hizi

Tupia Comments