AyoTV

VIDEO: Antonio Nugaz kaanza na Mbwembwe Yanga “Yanga unyonge kwisha”

on

Baada ya club ya Yanga SC kuwatangaza Hassan Bumbuli kuwa afisa habari wa club hiyo na Antonio Nugaz kuwa afisa muhamasishaji mkuu wa club hiyo, leo walifanya mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na mambo mbalimbali ya club yao ikiwemo suala la safari ya mashabiki kwenda Ndola Zambia kuispoti timu dhidi ya Zesco United katika mchezo wa marudiano.

Unajua Yanga toka aondoke Jerry Muro walikuwa hawana msemaji wa mbwembwe kama ilivyo Simba na Haji Manara ambaye amekuwa akiwatania sana watani zake Yanga SC, Sasa leo Nugaz baada ya kuongea na waandishi wa habari kaingia kwa mbwembwe kuwa hakuna Yanga kuonewa tena msemaji kasema.

VIDEO: Moja kati ya magoli ya marehemu Jeba, hili liliwaumiza wana-Simba 2016

Soma na hizi

Tupia Comments