Top Stories

‘Nabii’ Bushiri na mkewe wakamatwa kwa utakatishaji wa Bilioni 14

on

Kitengo cha Uchunguzi wa Makosa ya Jinai, Uchumi, Rushwa na makosa mengine (Hawks) nchini Afrika kusini kimemkata ‘Nabii’ Shepherd Bushiri na mkewe Mary kwa tuhuma za kutakatisha Rand Milioni 102 sawa na takriban Tsh Bilioni 14.4.

Hii ni mara yake ya pili kukamatwa, mara ya kwanza walikamatwa Februari 2019 kwa tuhuma za kutakatisha Randi Milioni 15 sawa na takriban Tsh Bilioni 2.12.

Bushiri alijisalimisha mwenyewe polisi baada ya mkewe kukamatwa, walishafikisha mahakamani na kesi yao imeahirisha hadi Oktoba 30.

NYUMBANI KWA MENGI, MAFURIKO YALIVYOHARIBU VITU VYA TAHAMANI, JACQUELINE AHUZUNIKA

Soma na hizi

Tupia Comments