Ad
Ad

AyoTV

VIDEO: ‘Hii sio haki, mnabomoa nyumba za watu saa 10 usiku’ –Bonnah Kaluwa

on

Mbunge wa Segerea Bonnah Kaluwa alisimama Bungeni kuhoji sababu za serikali kubomoa nyumba za baadhi ya wananchi wa Dar es salaam bila kuwalipa fidia zao huku wengine wakivunjiwa nyumba hizo hadi usiku.

Bonnah amesema…>>>‘Mtu amekaa kwenye nyumba yake miaka 50 umamuamsha saa 10 za usiku akupishe ili ubomoe nyumba yake? Hii sio haki, wengine ni wagonjwa na wazee bado mnaenda kuwabomolea

Hakuna mtu ambaye anakataa maendeleo lakini wanakataa utaratibu mliotumia, mlisema mmetoa miezi mitatu watu waondoke lakini hata kabla muda uliopangwa haujafika tayari mmeenda kuwabomolea’ –Bonnah Kaluwa

VIDEO: ‘Haiwezekani nikulipe alafu unakaa kunitukana’ –Spika Ndugai 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments