Habari za Mastaa

AudioMPYA: Nandy ametuletea remix ya single ‘Nagusagusa’ akiwa na Mr Blue

on

Msanii wa kike aliwahi kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Tecno Own Tha Stage na kuibuka kuwa mshindi wa pili leo ametuletea hii remix ya single yake iitwayo Nagusagusa akiwa amemshirikisha Mr Blue.

Unaweza ukabonyeza HAPA kuusikilia wimbo huo mpya wa Nandy

ULIIKOSA HAYA YA NAY A MITEGO KUMALIZANA NA BASAANA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments