Habari za Mastaa

Naeto C ameungana na Mr. Flavour wakatuletea hii video mpya ya ‘Helele’

on

NaetoMpya nyingine kutoka  Nigeria, wimbo ni wa Naeto C staa ambae aliwahi kushine na hit single ya ten over ten ambae sasa hivi karudi kwenye headlines na hii collabo ft. Flavour.

Video imefanywa Cape Town, Afrika Kusini na kampuni ya Fiendish Productions ambao walifanya pia video ya “Tony Montana (Remix)” ya Naeto aliyomshirikisha D’Banj.

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments