Habari za Mastaa

Cheki Shilole na usafiri wake mpya wa baiskeli (+Video)

on

Imezoeleka kwenye jamii kuwa ukishakuwa staa kuna vitu ambavyo unatakiwa kuepuka au kutofanya hasahasa kwenye mambo ya usafiri mfano kutumia usafiri wa bodaboda, daladala au hata baiskeli hii ni kutokana na wengi kuhisi kuwa mastaa wengi ni matajiri na hawahitaji kutumia usafiri kama huo.

Sasa mwimbaji Shilole ameamua kutuonyesha usafiri wake mpya wa baiskeli kupitia  ukuarasa wake wa instagram na hivyo ameamua kutupa mbali ustaa na kuanza kuiendesha baiskeli yake maeneo ya Kinondoni na akisema ‘My New Rider’

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama mwanzo mwisho Shilole alivyotuonyesha usafii wake.

VIDEO: UWOYA KAONGEAA “VIDEO NINAYO MWENYEWE, WATASUBIRI SANA”

Soma na hizi

Tupia Comments