Habari za Mastaa

Baada ya ukimya wa miaka 14 Missy Elliot kaja na EP (+Video)

on

Rappa mkongwe kutokea Marekani Missy Elliot ameamua kuileta Iconology ambayo ni EP (Extended Playlist) yake ikiwa tayari ni miaka 14 imepita tokea aachie ngoma yake ya mwisho ‘The Cookbook’ mwaka 2005.

Inaripotiwa kuwa EP hiyo itakuwa na jumla ya ngoma tano ambapo video ya wimbo wa ‘Throw it back’ tayari umeshaachiwa pia katika EP hiyo Missy Elliot ameshirikiana na Timbaland pamoja na Will Hendrix, pia imeelezwa kuwa Jumatatu rapper huyo atatunukiwa tuzo ya Michael Jackson Video Vanguard Award kwenye MTV VMA na kuperform kwenye stage kwa mara ya kwanza baada ya miaka 16.

PART 1: “NILIPEWA SIKU SABA IKABIDI NIJIUNGE NA ULE MCHEZO” (+VIDEO)

Soma na hizi

Tupia Comments