AyoTV

BoT yawataja waliokuwa wamekopa Bank M ‘Tunawataka waje’

By

on

Leo January 15 2019 Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuhamisha mali na madeni ya Bank M kwenda Azania Benki  baada ya Benki hiyo kuwa na upungufu mkubwa wa ukwasi kinyume na matakwa ya sheria ya mabenki na taasisi za fedha ya mwaka 2006 na kanuni zake.

Baada ya kutangaza kuhamisha mali za Benki M, Naibu Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Dk. Bernad Kibese amewataja baadhi ya wadaiwa wa iliyokuwa Bank M na kuwataka kulipa madeni hayo.

” Hawa ni baadhi ya share-holder’s waliokuwa na mikopo,  tunawataka waje ndani ya siku saba kuanzia kesho” Dk. Bernad Kibese

BREAKING: BOT imehamisha mali na madeni ya Benk M kwenda Azania Benk

Soma na hizi

Tupia Comments