Video Mpya

VideoMPYA: Moni Centrozone anakukaribisha kuitazama ‘Mwanzo Mwisho’ ft Mr T Touch

By

on

Ni zamu ya kumpokea Moni Centrozone kwenye ngoma mpya inaitwa ‘Mwanzo Mwisho’ akiwa amemvuta karibu mtayarishaji wa muziki kutokea hapa nyumbani Tanzania Mr T Touch, burudika na ngoma hiyo kwa kubonyeza PLAY hapa chini.

VIDEO: ULIPITWA NA HII YA MASTAA WAKIWA KWENYE SURA YA KIZEE? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments