Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Ben Pol akiwa kwenye ardhi ya Trump akutana na Rapper T.I (+Video)

on

Mwimbaji Ben Pol anaonekana kula bata na this time akiwa nchini Marekani amekutana na mkali wa muziki wa Hip Hop Marekani T.I na amepost picha kupitia ukurasa wake wa instagram na kuandika “Mfalme wenye amani”

Ben Pol akiwa nchini Marekani ameweza pia kutembelea eneo la Holly wood Walk Of Fame ikiwa ni sehemu ambayo mastar hupewa nyota kutokana na mchango mkubwa walioufanya kwenye tasnia ya burudani kwa ujumla, sasa Ben Pol ametembelea nyota ya Mfalme wa Pop Michael Jackson, Aretha Franklin, Steve Wonder, Bob Marley.

Ben Pol kuwa karibu na T.I hii ni tafsiri kuwa muziki wa Afrika unafika mbali kutokana kuwa na wakilishi wanaoutambulisha vyema ndani na nje ya nchi, inawezekana kwa mbeleni kukawa kuna kazi kati ya T.I na Ben Pol.

VIDEO: MAKONDA AFUNGUKA YA MOYONI SIKU YA BIRTHDAY YA MWANAE

Soma na hizi

Tupia Comments