Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Ukimuuliza Aika kuhusu ndoa yake na Nahreel atakujibu hivi (+Video)

on

Ishu kubwa ambayo imetawala kwenye maisha ya waimbaji kutoka kwenye kundi la Navy Kenzo Aika na Nahreel ni kuhusu lini watafunga ndoa, mashabiki wengi wamehoji kuhusu hili ikiwa pia ni couple ambayo imedumu kwa muda mrefu na kubarikiwa kupata watoto wawili ndani ya mahusiano yao.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza jibu la Aika kuhusu ni lini watafunga ndoa na Nahreel?

VIDEO: IRENE PAUL KAZUNGUMZA “NIMESHAKOMAA INATOSHA”

Soma na hizi

Tupia Comments