Habari za Mastaa

Staa alieachwa na bwana kisa Bongo Movie ‘Zilivuja picha, siamini katika kiki’ (+video)

on

Kutana na mwigizaji kutokea kwenye Bongo Movie anayefahamika kwa jina la Tiko ambaye aliwahi kuachana na mpenzi wake kisa kazi yake ya uigazaji na pia kwa sasa amehamisha kipaji chake kwenye muziki wa Bongo Fleva akiamini kuwa ana uwezo wa kufanya uigizaji pamoja na uimbaji.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alivyofunguka kwenye Exclusive interview na Ayo TV.

VIDEO: ‘WATARAJIE NDOA, NISHAMTAMBULISHA KWA WAZAZI’ -WHOZU

 

Soma na hizi

Tupia Comments