Top Stories

Naibu Waziri akanusha kupata Corona ‘Tupuuze taarifa zinazosambazwa, niko mzima’

on

Mei 11, 2020 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Faustine Ndugulile ambae leo amekanusha taarifa zilizokuwa zikienea kuhusu kupata Corona Virus (Covid-19).

“Tupuuze taarifa za uzushi zinazosambazwa kuhusu afya yangu, niko mzima kabisa na ninaendelea na majukumu yangu, pole nyingi kwa walioguswa na taarifa za uzushi”-Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile

DAWA YA CORONA YAPELEKWA NIMR KUTHIBITISHWA “INAPONYA TUTAKUWA NA DAWA KAMA MADAGASCAR”

Soma na hizi

Tupia Comments