Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Naibu Waziri Mkuu asifu Maendeleo makubwa yaliyofikiwa kwenye Ujenzi wa Bwawa la Julius Nyerere
Share
Notification Show More
Latest News
The Snipers Mabingwa wa Pool Table Mashindano ya robo mwaka
December 10, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 10, 2023
December 10, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 10, 2023
December 10, 2023
Breaking:Mvua kubwa yaitikisa Kilosa Usiku huu, Magari yasombwa, watu walia kuomba msaada
December 10, 2023
RC Chalamila apongeza Polisi na Barrick kwa kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili
December 10, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Naibu Waziri Mkuu asifu Maendeleo makubwa yaliyofikiwa kwenye Ujenzi wa Bwawa la Julius Nyerere
Top Stories

Naibu Waziri Mkuu asifu Maendeleo makubwa yaliyofikiwa kwenye Ujenzi wa Bwawa la Julius Nyerere

September 17, 2023
Share
2 Min Read
.
SHARE

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt Doto Mashaka Biteko amelipongeza Shirika la umeme Tanzania TANESCO kwa usimamizi makini na hatua kubwa iliyofikiwa kwenye ujenzi wa mradi wa bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere, ambao mpaka sasa umefikia asilimia 91.72.

Mhe.Dkt Biteko ameyasema hayo leo Septemba 16, 2023 alipofanya ziara katika mradi huo wa kimkakati na kuongeza kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, imefanya kazi kubwa ya kuusimamia kwa karibu mradi huu.

“Tunashukuru sana Serikali pamoja na wizara na TANESCO kwa kuhakikisha ujenzi unaenda kwa kasi licha ya kuwepo kwa changamoto ya upungufu wa umeme unaosababishwa na kupungua kwa kina cha maji kwenye mabwawa ya uzalishaji umeme”. Alisema Mhe. Biteko.

Aliongeza kuwa kwa sasa umuhimu ni watanzania wapate umeme wa uhakika ambapo suluhisho mojawapo ni kukamilika kwa mradi wa JNHPP.

Mradi wa bwawa la kufua umeme wa Julius Nyerere ulianza ujenzi wake Disemba 12, 2018 na unagharimu kiasi cha shilingi Trilioni 6.5 na hadi sasa mkandarasi amekwishalipwa kiasi cha shilingi trilioni 5.6 cha malipo yote.

Ziara hii inakuwa ya kwanza kutembelea mradi huu wa kimkakati wa Julius Nyerere tangu ateuliwe na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.

.
.
.
.

.
.

.
.
.
.
.
.

You Might Also Like

Breaking:Mvua kubwa yaitikisa Kilosa Usiku huu, Magari yasombwa, watu walia kuomba msaada

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 9, 2023

Kivumbi!! Misso Misondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais atoa maagizo haya kwa Vyama vya siasa

Edwin TZA September 17, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 17, 2023
Next Article Good news kutoka GSM bidhaa mpya kwenye maduka ya ‘Max’ wahi sasa, Jumapili tulivu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

The Snipers Mabingwa wa Pool Table Mashindano ya robo mwaka
Sports December 10, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 10, 2023
Magazeti December 10, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 10, 2023
Magazeti December 10, 2023
Breaking:Mvua kubwa yaitikisa Kilosa Usiku huu, Magari yasombwa, watu walia kuomba msaada
Top Stories December 10, 2023

You Might also Like

Top Stories

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 9, 2023

December 9, 2023
Top Stories

Kivumbi!! Misso Misondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe

December 9, 2023
Top Stories

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023

December 9, 2023
Top Stories

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais atoa maagizo haya kwa Vyama vya siasa

December 8, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?