Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Naibu Waziri Ridhiwan Kikwete awatahadharisha Watumishi wa Umma kwa hili
Share
Notification Show More
Latest News
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
September 22, 2023
Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025
September 22, 2023
Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno
September 22, 2023
Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho
September 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Naibu Waziri Ridhiwan Kikwete awatahadharisha Watumishi wa Umma kwa hili
Top Stories

Naibu Waziri Ridhiwan Kikwete awatahadharisha Watumishi wa Umma kwa hili

September 17, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewatahadharisha Watumishi wa Umma kujiepusha na mikopo yenye riba kubwa maarufu kwa jina la “Kausha Damu” huku akisisitiza kuwa mikopo ya aina hiyo imekuwa ikidhalilisha na kutweza utu wa Watumishi katika Jamii.

Kikwete ametoa tahadhari hiyo wakati akiongea na Watumishi wa Halmashauri ya Busega Mkoani Simiyu wakati akihitimisha ziara yake Mkoani humo ambapo amesema mikopo hiyo imewafanya baadhi ya Watumishi kuathirika kisaikolojia na kushindwa kufika katika vituo vya kazi na hivyo kuathiri utoaji wa huduma bora kwa Wananchi.

Ridhiwani amesema mikopo hiyo ambayo huchukuliwa kwenye Taasisi za Kifedha zisizotambulika imekuwa na riba kubwa ambayo huwapelekea Watumishi kushindwa kuwasilisha marejesho na kupelekea kuuzwa kwa nyumba au vitu vya thamani wanavyovimiliki hivyo amewataka Watumishi kuanza kutumia Mfumo mpya wa kieletroniki wa kukopa (e-loans) ulioanza kutumika kuanzia Sept 1, 2023 ambao unamuwezesha Mtumishi kuomba mkopo pasipo kufika kwenye Taasisi ya Kifedha au Tawi la Benki.

Amesema mfumo huo umeanzishwa na Ofisi ya Rais – UTUMISHI na Utawala Bora ili kumsaidia Mtumishi wa Umma kupata mikopo katika Taasisi za Kifedha zinazotambulika na Mwajiri ili kumuepusha Mtumishi kukopa sehemu ambazo humpeleka Mtumishi kunyang’anywa kadi ya Benki.

You Might Also Like

Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno

Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho

UN yaitaka Iran kuachana na sheria mpya kuhusu hijab

Makamu Rais AngloGold Ashanti-GGML atembelea maonesho ya madini Geita

Exclusive:Nyumbani kwa Askari aliyejenga kaburi la Milioni 10 yaibuka mapya

Edwin TZA September 17, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Young Africans wafika kwenye kituo hiki cha Kumbukumbu ‘Genocide Memorial’ mjini Kigali Rwanda
Next Article Rais Samia awava Watumishi aongea kwa Ukali, ‘Hampo Serious, Mmejilemaza, kero zinafika Ikulu’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
Sports September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
Sports September 22, 2023
Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025
Sports September 22, 2023
Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno
Top Stories September 22, 2023

You Might also Like

Sports

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta

September 22, 2023
Sports

Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou

September 22, 2023
Sports

Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025

September 22, 2023
Top Stories

Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho

September 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?