Mix

Labda na wewe unapenda mishkaki.. Hii ya chura je??

on

026Kwenye vituo vingi vya daladala utakuta mida ya jioni wako jamaa wanachoma zao mishkaki.. na watu wamezoea kabisa unakuta watu wengi wamejipanga wanajisevia.. kua story ilitokea Temeke kwamba kuna jamaa alikuwa anatuhumiwa kwamba anauza mishkaki ya paka, ikamharibia biashara yake japo baadae iligundulika kwamba mishkaki haikuwa ya paka.

Philip Paul kagonga vichwa vya habari kwenye story za Nigeria, amesema yeye na familia yake ni walaji wazuri wa mishikaki ya chura na pia ni biashara yake inayomuweka mjini.. YES.. anauza mishkaki hiyo !!

_82445843_5_editedPhilip amesema shughuli ya kukamata vyura hao huwa anafanya usiku, anachotumia ni mikono tu.. wala haimpi shida sana kuwakamata.

_82479747_frogs976Hii ni biashara yake kubwa, unaambiwa kaianza toka mwaka 2008, sehemu ambayo huwa anawakamata sana vyura hao ni Jimbo la Adamawa, Nigeria alafu anawasafirisha mpaka Benue, huko nd’o ambako kuna soko kubwa la mishkaki hiyo.

_82444413_3_editedjpg

_82445849_pic_6_edited

_82446494_7_edited

Hapo mishkaki inakaushwa kwenye jua

_82446502_5b_edited3

Kazi inaendelea, hapa mishkaki iko kwenye moto.

_82454145_pic-3_1000_edited

_82446496_2_editedUnahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenyeTwitter,Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa>>>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments