Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Usisahau kuwa Taifa Stars imecheza na Kenya leo May 29 2016 Nairobi
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Usisahau kuwa Taifa Stars imecheza na Kenya leo May 29 2016 Nairobi
Sports

Usisahau kuwa Taifa Stars imecheza na Kenya leo May 29 2016 Nairobi

May 29, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars May 29 2016 ilicheza mchezo wake wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Kenya Nairobi Kenya, Taifa Stars ilicheza mchezo huo pasipo kuwepo kwa nyota wake kadhaa akiwemo nahodha wake  Mbwana Samatta ambaye leo May 29 2016 alikuwa anamalizia kucheza mechi za PlayOff.

Taifa Stars ikiwa ugenini katika mchezo huo wa kirafiki, ilifanikiwa kufunga goli la uongozi dakika ya 33 kupitia kwa mshambuliaji wake anayeichezea klabu ya Stand United Elias Maguli, ambaye katika Ligi Kuu Tanzania bara amefanikiwa kufunga magoli 14 pia.

Wakati Taifa Stars ambao wanajiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu kucheza AFCON dhidi ya timu ya taifa ya Misri watakaocheza June 4 uwanja wa Taifa Dar es Salaam, walilazimishwa sare ya goli 1-1, hiyo inatokana na Kenya kupata goli la penati dakika ya 38 kupitia kwa nahodha wao anayeichezea klabu ya Southampton ya Uingereza Victor Wanyama.

#MillardAyoUPDATES #LiveMatch #FullTime #Kenya 1 (#Wanyama 38′) – 1 #Tanzania (#Maguli 33′) pic.twitter.com/1soRt7SGDV

— millard ayo (@millardayo) May 29, 2016

ALL GOALS: Fainali ya FA CUP May 25 2016 Yanga vs Azam FC, Full Time 3-1

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

PSG wachukizwa na Chelsea kukwamisha usajili wa Ziyech

Enzo avunja rekodi ya Uingereza usajili

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal

Jorginho yametimia Arsenal

Picha: Tazama wadau mbalimbali waliohudhuria kushuhudia mkataba wa Yanga na Haier

TAGGED: Soka bongo
Rama Mwelondo TZA May 29, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Top 10 ya kali zilizobamba Bungeni wiki hii, vituko havijakosekana..
Next Article Good News kwa muziki wa Afrika Chris Brown kampa dili Wizkid
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?