Habari za Mastaa

King Kaka kawashirikisha Joh Makini & G Nako kwenye hii Video ‘Najipendelea’

on

najipendelea

King Kaka ni Rapper toka Pande za Kenya, ameachia Video ya Single yake mpya akiwashirikisha wakali wawili kutoka Crew yaWeusi, Joh Makini na G Nako, ngoma yake inaitwa ‘Najipendelea’ .II

Video imefanyika hapa hapa Bongo chini ya Director Joowzey.

Hiyo ngoma iko kwenye hii video hapa, unaweza kubonyeza play kuicheki mapema kabisa yani.

 

 

 

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments