AyoTV

EXCLUSIVE: Leo Naj kapatikana na kaongea kuhusu ujauzito wa Baraka da Prince

on

June 22 2016 mwigizaji na msanii wa bongofleva Naj ali-trend na habari kuwa ana ujauzito wa mwimbaji wa bongofleva Baraka Da Prince sasa baada ya Naj kurudi bongo akitokea London June 21, kapatikana na kuongelea mbele ya AyoTV na millardayo.com

Kusema ukweli mimi naomba msubirie miezi tisa maana hivi vitu sio vizuri nianze kusema hadharani lakini kama ni mimba watu wataona itakapofika hiyo miezi tisaNaj

Zaiti mtazame kwenye hii video hapa chini…

ULIMISS KUONA MUONEKANO WA CHID BENZ BAADA YA KUTOKA KWENYE MATIBABU ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…

ULIKOSA KUONA SHILOLE NA VANESSA MDEE WALIPOKUTANA CLUB BAADA YA BEEF YAO KUPAMBA? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI.

Kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments