AyoTV

Naj kaongelea mawasiliano ya Baraka na Mama yake

on

Mrembo Kutoka Bongoflevani Naj ambaye kwa sasa ni mpenzi wa mkali anayezichukua headlines kwa sasa na Hit song yake ya ‘NisameheBaraka the Prince, Mtu wangu taarifa hii ikufikie kutoka kwa Naj ameweka wazi kuwa Familia yake inamtambua Baraka the Prince

Mama angu na Baba yangu wote wanamjua Baraka pia wamekuwa wakiwasiliana sana wakati mwinginwe wanachat sana kwa whatsapp pia mama angu anapenda sana kumtumia Baraka zile video za whatsapp za vichekesho kwa hiyo familia yangu inamjua>>>Naj

ULIIKOSA HII YA SHETTA ALIVYOWAHI KUOSHA GARI LA STAR WA BONGO FLEVA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments