AyoTV

“Najua wanafanya hivyo sababu ya timu ya taifa, waachwe mwenye uwezo acheze”-Kaseja

on

Jana Baraza la sanaa la Taifa BMT limetangaza rasmi kuanza kuchukua maoni kuhusiana na mapendekezo yaliyotolewa na serikali kuhusiana vilabu vya soka Tanzania kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni wanaosajiliwa.
.
Kwa sasa timu moja Tanzania inaruhusiwa kusajili wachezaji kumi tu wakigeni lakini serikali kupitia waziri mwenye dhamana ya michezo Dr Harison Mwakyembe wamependekeza idadi ipungue na sasa wanapokea maoni ili watangaze rasmi idadi itakuwa ngapi.
.
AyoTV imefanya EXCLUSIVE interview na Juma Kaseja ana maoni gani wapunguzwe au waendelea kubaki, Kaseja anaamini uwepo wao unaleta changamoto waachwe tu kama ni kwa lengo la wazawa wapate nafasi ya kucheza ili kuboresha timu ya taifa,  basi hiyo kila mchezaji atapambana apate nafasi kwa uwezo wake.

VIDEO: “UKITOKA SIMBA NA YANGA HUWEZI KUCHEZA, WAMEKINAI MAZURI YA KASEJA”

Soma na hizi

Tupia Comments