on air with millardayo

Nakitia Yona ‘Nilivyoolewa na niliedhani namjua kumbe simjui’ #OnAIRwithMillardAyo

on

Nakitia Yona ni Mwanamke Mtanzania ambaye aliolewa na kwenda kuishi nchini Marekani, sio msanii wala mwigizaji lakini watu mbalimbali kwenye nchi za Marekani, Uingereza na kwengine wameanza kumjua baada ya kuandika kitabu ya maisha yake ya kweli baada ya kuolewa, mtazame ujue zaidi kwenye hii video hapa chini

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments