Habari za Mastaa

Hii hapa tayari video Behind the Scenes ya Iyanya Feat. Diamond Platnumz- Nakupenda

on

IyanyaHufai eti, wanasema Unavuaga tu Sketi….. Na Ntaregret we Shuka Mwenzako Blangeti….!!!!!! Onset!!#NAKUPENDA @iyanya ft your Boy!” @

Hiyo ni caption aliyoiweka Diamond Platnumz MARCH 9 2015 pamoja na PICHA wakiwa na Iyanya Nigeria kazi ya kurekodi video ya wimbo Nakupenda ilikuwa inaendelea hapo.

Iyanya na Dai

Leo nimekutana na kipisi cha hii video ambacho ni behind the scenes ya wimbo huo, play hapa uone mtu wangu huu mzigo ukitoka utakuwa na ladha gani.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments