AyoTV

Navy Kenzo walivyokutana na producer Buskila nchini Israel

on

Kundi la Navy Kenzo kutoka Tanzania bado lipo nchini Israel kufanya show mbalimbali pamoja na kuitangaza album yao mpya na good news iliyonifikia kuwahusu ni kwamba wamekutana na producer Buskila alietayarisha wimbo wa Young ambao unapatikana kwenye album yao ‘AIM’ (Above Inna Minute).

Bonyeza Play hapa chini kutazama

VIDEO: Show ya Navy Kenzo mjini Tel Aviv Israel

Soma na hizi

Tupia Comments