Habari za Mastaa

Unaijua gharama ya video ya “My Number One Remix”?

on

davido

Naseeb Abdul “Diamond” ameweka kuhusu gharama za video yake ya Number One Remix aliyofanya na director Clarence Peters wa Nigieria.

Diamond anasema gharama hii hazijumuishi usafiri wala accommodation walivyokua huko Nigeria.

Diamond amelipa dola 25,000 sawa na Tsh millioni 40 za kitanzania kufanya production ya hii video ambapo ilijumuisha gharama za kila kitu hadi models na dancers.

 

 

 

 

Tupia Comments