Mix

PICHA3: Sanamu la Mfalme Farao II aliyetawala miaka 3000 iliyopita lilivyopatikana

on

March 9 2017 imeripotiwa taarifa kutokea Misri kuhusu Sanamu ya mfalme Farao II, sanamu hilo limepatikana chini ya Ardhi na inasemekena ni la Mfalme Farao Ramses II aliyetawala Misri zaidi ya miaka 3,000 iliyopita lenye Mita 8 (26 ft) , Sanamu hilo limegunduliwa na wanasayansi kutoka Misri na Ujerumani.

Farao pia alijulikana kama Ramses na alitawala Misri kwa miaka 66, kutoka 1213BC hadi 1279BC

VIDEO: Diamond Platnumz alivyofunguka kuhusu Mbunge aliyetaka sanamu yake

Unazitaka BREAKING NEWS na stori zote? ungana na mimi Ripota wako wa nguvu Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na nitakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FBTwitter Instagram YouTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments