Habari za Mastaa

Nandy alivyoshindwa challenge nakupewa yai anywe, Baba levo aingilia kati (video+)

on

Ni kutoka kwenye Jumba la Nandy Festival ambapo time hii wasanii watakao perform kwenye Tamasha hilo siku ya Jumamosi Sept 4, 2021 katika Viwanja vya Posta wameweka kambi.

Sasa Ayo TV & Millardayo.com itakuwa inakuletea matukio mbalimbali yale yanayojiri kambini hapo.

FULL BATA JUMBA LA NANDY FESTIVAL, TAZAMA WASANII WAKIJIACHIA KUELEKEA TAMASHA HILO JUMAMOSI

Soma na hizi

Tupia Comments