Habari za Mastaa

Nandy ametuletea hii collabo akiwa na Bill Nass na Mr Eazi (video+)

on

NI Mwimbaji wa kike kutokea Bongo Flevani, Nandy ambae leo January 20, 2022 ameachia rasmi video mpya ya wimbo wake uitwao Party.

Wimbo huo amewashirikisha Bill Nass na mkali kutokea Nigeria Mr Eazi, unaweza ukabonyeza play kuitazama hapa.

PART 2: KABWILI AFUNGUKA KUPOTEZA WAZAZI WAKE NA KUFUNDISHWA KUIPENDA YANGA SC

Soma na hizi

Tupia Comments