Habari za Mastaa

Nandy ampa zawadi hii Billnas, waonesha mahaba yao, Whozu awaimbia (video+)

on

NI Headlines za msanii kutokea Bongo Flevani, Billnas ambae April 11, 2022 alisheherekea siku yake ya kuzaliwa.

Sasa hapa nimekusogezea video ushuhudie yaliyojiri katika hafla ndogo iliyowakutana ndugu, jamaa na marafiki iliyoandaliwa na mpenzi wake Nandy huko Mbezi Dar es Salaam.

Soma na hizi

Tupia Comments