Habari za Mastaa

Nandy baada ya kukutana na Rais Mwinyi Ikulu Zanzibar (Video+)

on

Baada ya Nandy na wasanii wenzake waliotoa burudani July 21, 2021 kwenye Tamasha la Nandy Festival Zanzibar sasa July 22 wakaalikwa Ikulu Zanzibar kukutana na Rais Hussein Ally Mwinyi.

‘Kiukweli ni nafasi ya kipekee sana tumeweza kuongea mawili matatu unajua tangu kampeni ziishe sikuwahi kukae nae kama tulivyojumuika na wasanii wenzangu kumpongeza kwa nafasi aliyoipata na tumempongeza ushirikiano wake anaotupa katika michezo tumeona juzi juzi walikuwa na Marathon hapa- Nandy

Kaongea vitu vingi sana na kasisitiza kuwekeza Zanzibar kwani kuna fursa mbalimbali nimetamani kwahiyo tuombee uzima tu’– Nandy

Soma na hizi

Tupia Comments