NANDY FESTIVAL KUPIGWA LEO
Mwimbaji Star na muanzilishi wa Tamasha la Nandy Festival, Faustina Mfinanga, (Nandy) ametangaza kufanyika kwa Tamasha la Nandy Festival Tanga siku ya leo Jumapili baada ya kuhairishwa kufanyika siku ya Jana iliyokuwa imetarajiwa kutokana na mvua iliyonyesha Tanga Mjini na Sababu nyingine ambazo ajazitaja..
Nandy Festival Tanga ilipangwa kufanyika siku ya Jana Jumamosi ikiwa na wasanii Jux, Mwana FA, Ommy Dimpoz, Chino, Yammy, Lulu Diva, Nandy, Billnass na Wengine..
Nandy amewaomba radhi mashabiki na kuwa taka wafike kwenye show hiyo kuanzia SAA 6 mchana na tena bila kulipa kiingilio
#MillardayoENT