Habari za Mastaa

Nandy hataki mchezo athibitisha kununua gari jipya lenye thamani zaidi Milioni 75

on

Ni msanii kutokea Bongo Fleva ,Nandy ambae amezungumza na Ayo TV ENT baada ya kupost gari lake Jipya aina ya Range Rover Evoque kupitia mtandao wa Instagram.

Nandy amedai gari hilo ni jipya amenunua kwa thamani ya milioni zaidi ya 75 za kitanzania.

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza alichokizungumza

 

MANENO YA MWISHO YA MALCOM KWA MAMA YAKE, ALIJITABIRIA KIFO, “MAMA NAKUFA TAFUTA MTOTO”

Tupia Comments