Habari za Mastaa

Nandy kafunguka billnass kumvalisha Pete ‘Washenga walipendekeza mahari ya Milioni 10’

on

Ni Headline za msanii kutokea Bongo Flevani, Nandy ambae Jumapili iliyopita 20, Feb, 2022 alivalishwa pete na mchumba wake Billnass.

Sasa Ayo TV & Millardayo.com imempata msanii huyo na kuzungumza nae, unaweza ukabonyeza play kufahamu kile alichozungumza

BILLNAS APIGA MAGOTI NA KUMVISHA PETE YA UCHUMBA NANDY MBELE YA WAZAZI WAKE ‘MAHARI MILIONI 10’

 

Soma na hizi

Tupia Comments