AyoTV

Nandy kafunguka endapo Rais Magufuli akamchagua kuwa Mkuu wa wilaya 2020

on

Ni Headlines za Staa kutokea Bongo Flevani, Nandy ambae time hii amefunguka kuhusiana na uchaguzi  mkuu mwaka 2020 na pia kafunguka endapo Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt John Pombe Magufuli akamteuwa kuwa Mkuu wa wilaya.

Itazame hii video akifunguka mwanzo mwisho

Soma na hizi

Tupia Comments