Habari za Mastaa

Nandy kafunguka ishu ya kuachana na Billnass

on

Kwa mara ya kwanza Msanii Nandy ametolea ufafanuzi tetesi za kuachana na Billnass hii ni baada ya maneno kuenea Mitandaoni kuwa wawili hao tayari wameachana miezi michache tu tangu Nenga alipomvalisha pete ya uchumba Nandy .

…>>>”Kuhusu kuachana wao wamesema sio Mimi, Wabongo wape picha tu wanakupa caption, tuna Miezi mitano, sita tu, masuala ya ndoa ni mwaka kwanza, kuhusu ndoa ni lini tuombe Mungu“- Nandy

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Nandy akifunguka 

Soma na hizi

Tupia Comments