Habari za Mastaa

Nandy kaja na uwekezaji huu, Wema Sepetu naye kaibuka na lake

on

Mwimbaji Nandy ameendelea kutawanya mapato yake anayoyapata kupitia muziki ambapo time hii ametuletea bucha lake la kisasa linalotembea yani aanauza nyama za vitoewo vyote kuanzia Kuku, Samaki, Ng’ombe, mbuzi n.k.

Naye Mwigizaji Staa Wema Sepetu ameanzisha kipindi chake kipya ambacho kinahusu mapishi na kitakuwa kikimualika mtu maarufu mmoja ambaye atakuwa naye jikoni wakipika na kupiga story mbali mbali, this time ameanza na mkongwe Dully Sykes.

Bonyeza PLAY hapa chini kupata taarifa kamili.

VIDEO: DIVA KATOA MAKAVU KWA ALIKIBA ADAI VIDEO YA NGONO NI ADBUKIBA ‘ALIKUWA KALEWA’

 

Soma na hizi

Tupia Comments