Habari za Mastaa

Nandy katuletea collabo yake akiwa na Billnas na Mr Eazi (audio+)

on

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Nandy ambae time hii ameachia wimbo wake mpya uitwao Party ambao amewashirikisha Billnas na mkali kutokea nchini Nigeria Mr Eazi.

Unaweza ukabonyeza play kuusikiliza hapa kisha usisahau kuandika neno lolote ili wakali hao wakipata wasome mlichowaandikia.

 

Soma na hizi

Tupia Comments