Habari za Mastaa

Nandy katuletea hii video mpya ‘Siwezi’ itazame hapa

on

Ni Mwimbaji kutokea Bongo Flevani, Nandy ambae time hii ametuletea video mpya ya wimbo wake uitwao Siwezi.

Unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.

NANDY KAZINGUANA NA BILLNASS..? ITAKUAJE ILE MAHARI YA MILIONI 10..? KAFUNGUKA NINI KINAENDELEA

Tupia Comments