Habari za Mastaa

Nandy na Billnass watoa video nyingine inaitwa “Do me”

on

Mara ya mwisho kuwaona kwenye video ya pamoja ilikua ni kwenye goma lao la bugana lililotoka August 30 2019, sasa baada ya mwaka mmoja kupita leo wametudondoshea goma jipya linaitwa ‘Do me” lakini this time ni Nandy kamshirikisha Billnass.

KUTANA NA BEATRICE, MUUZA KEKI MPAMBANAJI MWENYE MASTERS MBILI…

Soma na hizi

Tupia Comments