Habari za Mastaa

Nandy ngumi mkononi, maandalizi ya Nandy Festival Dar es Salaam

on

Ni msanii kutokea Bongo Flevani, Nandy ambae time hii yuko kwenye maandalizi ya kuelekea Tamasha la Nandy Festival 2021 Dar es Salaam linalotarajiwa kufanyika Septemba 4, 2021.

Tamasha hilo litafanyika katika viwanja vya Posta, na hapa Ayo TV imekusogezea video ushuhudie maandalizi ya msanii huyo.

Soma na hizi

Tupia Comments