Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Nanganga- Ruangwa wawekewa Lami, Rais Samia aweka jiwe la msingi, ‘Wakandarasi malizeni kwa wakati’
Share
Notification Show More
Latest News
Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7
September 27, 2023
Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev
September 27, 2023
Nigeria: Polisi wamemkamata mwizi wa simu za mkononi akiwa na simu 890 alizoziiba.
September 27, 2023
Mwanamke aliyeshinda taji la Miss Zimbabwe azua mzozo wa ubaguzi wa rangi
September 27, 2023
Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Nanganga- Ruangwa wawekewa Lami, Rais Samia aweka jiwe la msingi, ‘Wakandarasi malizeni kwa wakati’
Top Stories

Nanganga- Ruangwa wawekewa Lami, Rais Samia aweka jiwe la msingi, ‘Wakandarasi malizeni kwa wakati’

September 18, 2023
Share
1 Min Read
.
SHARE

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Nachingwea – Ruangwa – Nanganga, sehemu ya Ruangwa – Nanganga (KM 53.2) inayojengwa kwa kiwango cha lami, leo September 18, 2023.

Rais amesema Serikali ya awamu ya sita imejipanga kujenga miundombinu ya Mikoa ya Kusini ili kurahisisha usafirshaji wa mazao na kukuza uchumi wa Mikoa hiyo na kuwataka Wakandarasi wakamilishe ujenzi wa barabara hiyo kwa wakati.

“Niwaombe Wakandarasi na Wasimamizi waende kwa kasi sana lakini nipongeze TANROADS Mkandarasi na wengine kwa hatua ambayo imeshafikia na kwetu sisi Serikali mafedha yapo tunasubiri certificate ziletwe tulipe kazi ziendelee”

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Mohamed Besta, amesema Mkandarasi anayejenga barabara hiyo ni China 15th Group kwa thamani ya Tsh. bilioni 50.3 na jumla ya Tsh. bilioni 1.1 ikiwa ni sehemu ya ongezeko la thamani na kutumika kulipa fidia ya mali na ardhi kwa Watu walioathirika na ujenzi kwa mujibu wa Sheria “Ujenzi mpaka sasa tumefikia 71% na mapaka sasa tumeshalipa jumla ya shilingi Bilioni 20.7 na zilizobaki tunaendelea kulipa kwa utaratibu uliowekwa”

You Might Also Like

Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7

Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev

Nigeria: Polisi wamemkamata mwizi wa simu za mkononi akiwa na simu 890 alizoziiba.

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

Edwin TZA September 18, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Rais Samia aweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la halmashauri ya Mtama Lindi.
Next Article Young Africans kukutana na Namungo ‘Mchezo wa Ligi Kuu’ Jumatano Sept 20. 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7
Top Stories September 27, 2023
Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev
Top Stories September 27, 2023
Nigeria: Polisi wamemkamata mwizi wa simu za mkononi akiwa na simu 890 alizoziiba.
Top Stories September 27, 2023
Mwanamke aliyeshinda taji la Miss Zimbabwe azua mzozo wa ubaguzi wa rangi
Entertainment September 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev

September 27, 2023
Top Stories

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

September 27, 2023
Top Stories

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

September 27, 2023
Sports

Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?