Mix

Maamuzi ya mahakama kuhusu rufaa ya Nangole kupinga kutenguliwa ubunge

on

Mahakama ya kanda ya Arusha imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na aliyekuwa mbunge wa jimbo la Longido, Onesmo Ole Nangole ya kupinga maamuzi ya awali ya mahakama hiyo iliyotengua matokeo yaliyompa ushindi.

Uamuzi huo umesomwa na msajili wa mahakama ya rufaa Amir Msumi na kusema wakata rufaa waliwasilisha rufaa mpya badala ya kurekebisha vipengele kama walivyoagizwa na mahakama.

Ulikosa ya Meya wa Dodoma baada ya Tuhuma za Milioni 30, Bonyeza play hapa chini

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments