Top Stories

“Naomba Polisi wanikamate tena nikitoka niwe kama Mandela” Baba Levo (+video)

on

Msanii wa Bongofleva na Diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini kupitia Chama cha ACT Wazalendo Clayton Revocatus Chipando baada ya kutoka gerezani ameamua kufanya mkutano na wananchi wake ili kueleza mikakati yake.

“HUYU ATAKUJA KUVUNJA MGONGO WA MTU, ACHUKULIWE HATUA”-WAZIRI NDALICHAKO

Soma na hizi

Tupia Comments