AyoTV

VIDEO: Swali la Nape Nnauye kwa Serikali Bungeni May 15, 2017

on

Mkutano wa Saba wa Bunge la Kumi na Moja uliendelea Dodoma leo May 15, 2017 kwa maswali ya Wabunge kwa Serikali ambayo Mawaziri husika waliyajibu…kati ya Wabunge waliopata nafasi ya kusimama na kuihoji Serikali ni pamoja na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliyetaka kujua hatma ya tatizo la mawasiliano jimboni kwake.

Kwenye video hii chini hapa ina kila kitu…

VIDEO: Ladies and Gentleman!! huyu ndio Miss UDOM 2017 

Soma na hizi

Tupia Comments