AyoTV

VIDEO: Nape Nnauye akizungumzia kuhusu kutenguliwa nafasi yake ya uwaziri

on

Mbunge wa jimbo la Mtama, Nape Nnauye leo April 08 2017 kwa mara ya kwanza ameongea na wananchi wa jimbo lake la Mtama toka alipotoka kwenye nafasi ya Uwaziri na kufafanua mambo mbalimbali ikiwemo kuhusu kutenguliwa nafasi yake ya uwaziri, Bonyeza play hapa chini kutazama..

VIDEO: Nape alivyosimama kwa mara ya kwanza bungeni tangu atenguliwe Uwaziri, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments