social network

Ujumbe wa Nape Nnauye kuhusu CCM kwenye maadhimsho ya Muungano

By

on

Leo April 26, 2017 Tanzania imeadhimisha miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika sherehe zilizofanyika mjini Dodoma ambapo viongozi mbalimbali wamekuwa wakitoa pongezi kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano kwa kutimiza miaka hiyo.

Mmoja wa watu walioguswa na maadhimisho hayo ni Mbunge wa Mtama ambaye aliwahi kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM na Waziri wa zamani wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye akitumia account yake ya Instagram na kuandika: CCM bado ni chama bora cha mfano kwa Afrika!!! Ni imara na kina historia ndefu, nzuri iliyotukuka sana!! Ndio waasisi wa Muungano wetu, TUUDUMISHE!!!!
#miaka53yamuunganowatanganyikanazanzibar.” – Nape Nnauye

Video: LIVE: Nape Nnauye alichoongea baada ya kuvuliwa Uwaziri >>>

Video: FULL VIDEO: Nape alivyozuiwa na Polisi “alietoa Bastola aje hapa’ >>>

Soma na hizi

Tupia Comments